Tetesi za usajili barani Ulaya alhamisi hii, Romero huenda akachukua nafasi ya De Gea endapo akiondoka United, Ole Gunnar amkomalia Rakitic na wengine sokoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za usajili barani Ulaya alhamisi hii, Romero huenda akachukua nafasi ya De Gea endapo akiondoka United, Ole Gunnar amkomalia Rakitic na wengine sokoni

Nahodha wa zamani wa England na Chelsea John Terry, ambaye kwa sasa ni naibu meneja wa Aston Villa, anashauriana na Middlesbrough kuhusu uwezekano wa kuwa maneja wao mpya.(Talksport). Manchester City wanakaribia kumsajili beki wa Ureno Joao Cancelo, 24, ambaye thamani yake inakadiriwa na Juventus kuwa euro milioni 60. (Record – in Portuguese). Atletico Madrid na Napoli wanapania kumsajili beki wa kulia wa Tottenham na mchezaji wa kimataifa wa England Kieran Tripper, 28. (Mirror).Spurs wameweka dau la £10m kumnunua winga wa Leeds United wa miaka 18, Muingereza Jack Clarke. (Mail)


Manchester United wanashughulikia mpango wa kumsaini Ivan Rakitic, 31, lakini Barcelona wanataka kulipwa uero milioni 48 kumwachilia nyota huyo wa kimataifa wa Croatia. (Record)


Ivan RakiticHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionIvan Rakitic

United wanatarajiwa kuwasilisha dau la kwanza la £25m kumunua beki wa Crystal Palace, Aaron Wan-Bissaka, 21, lakini Eagles wanataka £50m kumwachilia mchezaji huyo. (Evening... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More