Tetesi za usajili barani Ulaya Jumatatu hii, De Gea hati hati PSG, Wan-Bissaka, Meunier, Silva, Sessegnon, Butland na wengine sokoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za usajili barani Ulaya Jumatatu hii, De Gea hati hati PSG, Wan-Bissaka, Meunier, Silva, Sessegnon, Butland na wengine sokoni

Manchester United itampa kipa wa Uhispania David de Gea £20m iwapo mchezaji huyo mwenye miaka 28 ataelekea Paris St-Germain msimu huu wa joto. (Sun)United imekataliwa ombi lake na Crystal Palace la thamani ya £40m kumsajili mchezaji wa timu ya taifa ya England ya wachezaji wa chini ya miaka 21 Aaron Wan-Bissaka. Timu hiyo ya Eagles inataka takriban £60m. (Sky Sports)


Mkufunzi wa Arsenal Unai Emery amefanya mazungumzo na beki wa kulia wa PSG na timu ya taifa ya Ubelgiji Thomas Meunier, mwenye umri wa miaka 27, kuhusu uwezekano wa kuhama msimu huu wa joto.(Express)


Mchezaji wa kiungo cha kati wa Manchester City David Silva, mwenye umri wa miaka 33, atashiriki katika mechi ya mtihani uwanjani Etihad Stadium mwakani. Mkataba wa mchezaji huyo wa Uhispania unamalizika mwaka ujao na anataka asitishe kazi yake huko Las Palmas. (Sun)


Tottenham itawasilisha ombi kwa Fulham kumwania winga wa timu ya taifa ya England ya wachezaji wasiozidi miaka 21 Ryan Sessegnon, mwenye umri wa miaka 19, msi... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More