Tetesi za usajili barani Ulaya Jumatatu hii, Wilson, Ake, Llorente, Fellain, Arnautovic, Willian, na wengine sokoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za usajili barani Ulaya Jumatatu hii, Wilson, Ake, Llorente, Fellain, Arnautovic, Willian, na wengine sokoni

Bournemouth iko radhi kumuuza mshambuliaji wa England Callum Wilson kwa Chelsea kwa pauni £75m – mara 25 zaidi ya kiwango walicholipa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 mnamo 2014. (Star)

Wolves watapambana na Chelsea katika kuwania kumsajili Wilson, ambaye amefunga mabao 10 kufikia sasa msimu huu.(Birmingham Mail)

Chelsea pia inataka kumsajili upya beki wa kati wa Bournemouth Nathan Ake, miaka miwili tu baada ya kumuuza Mholanzi huyo mwenye umri wa miaka 23 kwa Cherries. (Sun)

Uga mpya wa Tottenham inaarifiwa kwamba huenda usikamilike msimu huu. (Mail)

Mshambuliaji wa Tottenham na timu ya taifa ya Uhipania Fernando Llorente, mwenye umri wa miaka 33, analengwa na Barcelona. (Mundo Deportivo)

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anasema klabu hiyo haitofikiwa kiwango kinachohitajika kumnunua mchezaji wa kiungo cha kati wa Wolves na Ureno Ruben Neves mwenye umri wa miaka 21 cha thamani kwa thamani ya £100m (Mirror)

Mshambuliaji wa Watfor... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More