Tetesi za usajili barani Ulaya, mashabiki wa PSG wamsusa Neymar, Pogba matatani - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tetesi za usajili barani Ulaya, mashabiki wa PSG wamsusa Neymar, Pogba matatani

Wawakilishi wa kisheria wa mchezaji wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Paris St-Germain, Neymar ,27, walionekana wakiingia katika ofisi za klabu yake ya zamani Barcelona. (Gol TV, via AS). Real Madrid imeendelea kuwa na nia ya kumsajili Neymar na kutamatisha nia ya kumsajili kiungo wa Manchaster United Paul Pogba, 26, ikiwa watampata mchezaji huyo. (Sun)PSG imeonekana kusitisha kuuza shati la Neymar kwenye duka la klabu. (UOL Esporte, via Marca). Manchester United wameshtushwa na taarifa kuwa Pogba anaweza kuachana na klabu hiyo. (Mirror)


Paul PogbaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES

Mabingwa wa Italia Juventus imezungumza na kiungo Christian Eriksen, 27, wakimtaka kujiunga na timu hiyo mkataba wake na Tottenham utakapomalizika mwishoni mwa msimu.(Mail)


Bayern Munich wako kwenye mazungumzo na Barcelona kuhusu usajili wa kiungo wa Brazil Philippe Coutinho, 27, kwa mkopo. (RAC1, via AS).


Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Daniel Sturridge, 29, atafanya maamuzi kuhusu mustakabali wake juma hili ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More