TETESI ZA USAJILI SIMBA SC LEO JUMAMOSI JUNE 09,2018 - Sports Kitaa | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TETESI ZA USAJILI SIMBA SC LEO JUMAMOSI JUNE 09,2018

Siku chache baada ya kocha mkuu wa Simba sc pierre lechantre kuamua kukaa pembeni katika benchi la timu hiyo Mabingwa hao wameamua kumsaka mrithi wake.
MATOLA ATAJWA KUTUA SIMBASimba sc wamepanga kumleta aliyekuwa kocha msaidizi wa Lipuli fc Suleiman Matola kuwa kama kocha mkuu na kumfanya Masoud Djuma kuwa kocha mkuu.
Djuma anaonekana kukubalika sana na uongozi na mashabiki wa simba sc.
Kocha Masoud Djuma kesho ataiongoza Simba sc katika fainali za sportpesa super cup dhidi ya Gormahia ya Kenya.
Endelea kutembelea www.sportskitaa.com kwa habari za ukweli na uhakika.

SOMA ZAIDI HAPA
>Simba sc wanavyoitamani safari ya Uingereza

>Ndemla agoma kusaini Simba SC
... Continue reading ->
Source: Sports KitaaRead More