Teuzi za Rais Magufuli zawashangaza wengi - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Teuzi za Rais Magufuli zawashangaza wengi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli,  amesema hatachoka kufanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri kila itakapohitajika. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wake, tayari Magufuli ameshafukuza kazi mawaziri tisa kati ya 19 aliowateua Desemba 10, 2015. Akizungumza leo Ikulu katika hafla ya kuwaapisha mawaziri wapya, Rais Magufuli amesema ataendelea kufanya


Source: Kwanza TVRead More