Tff imemfungia Tena Juma Nyoso - Jamii na Michezo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tff imemfungia Tena Juma Nyoso

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.13.2018 SAA 01:33 USIKU


Kamati ya Nidhamu iliyokutana Jumamosi Februari 10, 2018 imemtia hatiani Juma Nyoso, mchezaji wa Kagera Sugar kwa utovu wa nidhamu kwenye mechi namba 112 ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara Kagera Sugar dhidi ya Simba Sports Club iliyochezwa kwenye Uwanja wa Kaitaba. 
 BOFYA HAPO CHINI KUSIKILIZA ZAIDI...

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates... Continue reading ->


Source: Jamii na MichezoRead More