TFF na timu za Ligi Kuu bara msife moyo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TFF na timu za Ligi Kuu bara msife moyo

Ni habari ambazo haziwezi kuwa nzuri kusikika kwa wapenzi wa mpira wa miguu pamoja na timu shiriki katika ligi kuu ya Tanzania bara kwamba ligi yetu bado haijapata mdhamini mkuu mpaka sasa. Hili linakuja huku zikiwa zimebaki siku kadhaa kabla ya kipenga cha kwanza katika msimu wa 2018/19 kupulizwa baada ya waliokuwa wadhamini wakuu, Kampuni ya


Source: MwanaspotiRead More