TFF walilaani Jeshi la Polisi kwa kumpiga mwandishi wa habari, waahidi kuchukua hatua za kisheria - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TFF walilaani Jeshi la Polisi kwa kumpiga mwandishi wa habari, waahidi kuchukua hatua za kisheria

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF) limedai kuwa limesikitishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi jana Agosti 8, 2018 kumpiga Mwandishi wa Habari za michezo akiwa uwanjani kwenye mechi ya kirafiki kati ya Simba dhidi ya Asante Kotoko.


Image result for cliford ndimboCliford Ndimbo

Taarifa ya kulaani tukio hilo imetolewa na Afisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Ndimbo ambaye amesema kuwa watafuatilia kila kitu ili sheria iweze kuchukua mkondo wake. 


The post TFF walilaani Jeshi la Polisi kwa kumpiga mwandishi wa habari, waahidi kuchukua hatua za kisheria appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More