TFF wazikumbusha klabu zisizokamilisha usajili wa kieletroniki - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TFF wazikumbusha klabu zisizokamilisha usajili wa kieletroniki

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linavikumbusha klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili ambavyo havijafanya usajili kupitia mfumo wa usajili wa TFF FIFA Connect kufanya usajili wao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Klabu ambazo bado hazijafanya usajili wawasiliane na TFF kama kuna msaada wowote wanahitaji ili kukamilisha ...


Source: MwanahalisiRead More