TFF yaingia matatani Arachuga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TFF yaingia matatani Arachuga

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) imeingia lawamani baada ya timu ya Soka ya Wanawake, Tanzanite FC kulilalamikia kwa kitendo chao cha kupangua ratiba ya Ligi ya Wanawake na kuwabebesha mzigo usio wa lazima.


Source: MwanaspotiRead More