TFF YAINGIA MKATABA NA FOUNTAIN ACADEMY KUWALEA CHIPUKIZI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TFF YAINGIA MKATABA NA FOUNTAIN ACADEMY KUWALEA CHIPUKIZI

Kaimu Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Nyamlani (kulia) na Mkurugenzi wa Fountain Gate Academy Japhet Makau (kushoto) wakisaini mkataba wa ushirikiano kuwatunza wachezaji wa timu za taifa za vijana chini ya umri wa miaka 13 (U13), U15 na U17 katika shule ya Fountain Gate iliyopo mjini Dodoma, ambako watakua wakipatiwa elimu na mafunzo ya soka 


Source: Bin ZuberyRead More