TFF yalia makatibu wakuu klabu kuingia mitini - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TFF yalia makatibu wakuu klabu kuingia mitini

Bodi ya Ligi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zimesikitishwa na kitendo cha klabu nyingi kutuma wawakilishi katika semina ya Makatibu wakuu wa klabu za Ligi Kuu inayofanyika leo jijini Dar es Salaam.


Source: MwanaspotiRead More