TFF YAMFUNGIA MAISHA KUTOJIHUSISHA NA SOKA WAKILI MSOMI REVOCATUSS KUULI ALIYEUWEKA MADARAKANI UONGOZI WA KARIA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TFF YAMFUNGIA MAISHA KUTOJIHUSISHA NA SOKA WAKILI MSOMI REVOCATUSS KUULI ALIYEUWEKA MADARAKANI UONGOZI WA KARIA

Na Nasrsah Omary, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia maisha kutojihusisha na soka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi TFF, wakili Revocatus Kuuli.
Akitaja hukumu hiyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili TFF, Hamidu Mbwezeleni, alisema wamemfungia wakili huyo kutokana na kukiuka misingi ya katika ya TFF.
Mbwezeleni alisema Kuuli alikiuka misingi ya katiba ya TFF kwa kusambaza nyaraka ya siri aliyetumiwa na Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao hivi karibuni juu ya suala la uchaguzi wa klabu ya Simba.

Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili TFF, Hamidu Mbwezeleni wakati akitangaza kumfungia Wakili Revocatus Kuuli leo

Kuuli amefungiwa baada ya kufunguliwa mashitaka matatu kufuatia sakata la uchaguzi Simba uliofanyika jana mjini Dazr es Salaam.
Shitaka la kwanza la Kuuli ni kusambaza barua za TFF kinyume cha kufungu cha 16 (1) cha kanuni za Maadili za TFF tole la mwaka 2013 kinyume cha ibara ya 12.1 (b).
Shitaka la pili ni kutoa maelezo yanayoonyesha  kuwa na... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More