TFF yapiga marufuku vitu vya ncha kali mechi ya Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TFF yapiga marufuku vitu vya ncha kali mechi ya Simba

Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao ameagiza mashabiki watakaoingia Uwanjani Jumamosi kuacha kubeba kitu cha inaina yeyote ambacho kinaweza kuhatarisha usalama kwenye uwanja huo.


Source: MwanaspotiRead More