THTU yakutana kujadili masilahi ya wanachama - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

THTU yakutana kujadili masilahi ya wanachamaNa Chalila Kibuda, Globu ya JamiiBARAZA la Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu Juu (THTU) limesema kuwa litaendelea kuwa na busara katika kufatilia madai yao kwa kufuata taratibu za Kiutumishi.
Baraza hilo lilikutana kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya stahiki zao katika vyuo vya umma nchini.
 Mwenyekiti wa  Taifa wa chama cha wafanyakazi Taasisi ya elimu ya juu (THTU) Dkt. Paul Loisulie akizungumza katika baraza hilo amesema kuwa serikali kuna vitu imefanya vizuri lakini vingine bado vinavyohusiana na madai hivyo busara lazima itumike.
Amesema kuwa kuna Mamlaka za serikali ambazo zipo kwa ajili yao ambazo zinatakiwa kuzifikia katika kupata ufumbuzi.
Dkt. Loisulie amesema kikao cha baraza ni cha dharula kwa wanachama kuwa na dukuduku kuhusiana  madai yao katika utumishi wa umma.Aidha liosure ameeleza kwakina dhumuni la kikao hicho ni kutoa muelekeo juu ya maslahi ya wafanyakazi kwani wengi wao wamekua wakilalamikia masilahi ya malimbikizo ya mishahara ikiwa baadhi yao walishalipwa ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More