TIB CORPORATE BANK YAWAONDOA HOFU WATEJA WAKE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TIB CORPORATE BANK YAWAONDOA HOFU WATEJA WAKE


 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya TIB Corporate Bank Ltd (TIB CBL) Fred Luvanda akizungumza na waandishi wa habari na kutolea ufafanuzi wa Benki Kuu (BOT) kumuondoa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo pamoja na kuwaondoa hofu wateja na wadau wote wa benki ya Biashara TIB na wananchi kwa ujumla.
Na Zainab Nyamka, Michuzi TV
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya TIB Corporate Bank Ltd (TIB CBL) Fred Luvanda ametolea ufafanuzi wa Benki Kuu (BOT) kuondolewa kwa aliyekuwa Mtendaji mkuu wa benki hiyo  Frank Nyabundege.Akizungumza na waandishi wa habari, Luvanda amesema kuwa kuna sababu nyingi ambazo zinaweza kupelekea kwa BOT kufanya maamuzi ya kuichukua benki inayoshindwa kulinda amana za wateja na kuiweka chini ya mamlaka yake.Luvanda ameeleza, Benki ya TIB Corporate haiko chini ya usimamizi wa mabenki bali ni mabadiliko ya uongozi wa juu tu kwa kuondolewa kwa Mkurugenzi Mtendaji  ila Benki ya TIB Corporate inaendelea kuhudumia wateja wake kama kawa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More