TIC KUSIMAMIA ENEO LA UWEKEZAJI LA KILUA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TIC KUSIMAMIA ENEO LA UWEKEZAJI LA KILUA


Na Grace Semfuko-MAELEZO

Wananchi wenye viwanja na maeneo makubwa nchini ambayo yanafaa kwa uwekezaji wameshauriwa kwenda katika kituo cha uwekezaji Tanzania TIC ili kuona ni kwa namna gani wataweza kuyatumia maeneo hayo kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda.

Wito huo umetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa huduma kwa wawekezaji kutoka katika Kituo cha uwekezaji Tanzania TIC Bw. Ayoub Sizya wakati akitembelea na kukagua eneo la ukanda wa uwekezaji na mauzo ya ndani na nje ya nchi la Kilua lililopo kijiji cha Disunyala Kata ya Mlandizi Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani.TIC imeingia makubaliano na Mmiliki wa eneo la ukanda wa uwekezaji kwa ajili ya mauzo ya ndani na nje ya nchi la Kilua lililopo Kijiji cha Disunyala Kata ya Mlandizi Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani lenye zaidi ya ekari 1000 ambalo ni maalum kwa ajili ya ujenzi wa Viwanda.

“Sisi TIC tumeingia makubaliano na Ukanda huu wa uwekezaji wa Kilua lengo letu ni kuimarisha shughuli za uwekezaji,tunafanya hivi ili kuvutia wawekezaji w... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More