TIGO FIESTA 2018 YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA SUMBAWANGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TIGO FIESTA 2018 YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA SUMBAWANGA

 Msanii Barnaba akionyesha umahiri wake kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote yake lililofanyika jana kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga. Msanii wa Bongo Fleva Ben Pol akiwa kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote kwa kuwashirikisha wakazi wa Sumbawanga kama kionjo cha shoo yake iliyofanyika jana kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga. Msanii FID Q akionyesha umahiri wake kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote yake lililofanyika jana kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga. Msanii Joh Makini akitoa burudani kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote yake lililofanyika jana kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga.Nandy nae hakuwa nyuma kutoa burudani. Wasanii wa kundi la weusi wakiwa kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote yake lililofanyika jana kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga.
Wakazi wa manispaa ya Sumbawanga na vitongoji vyake usiku wa kuamkia leo ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More