Tigo Fiesta kufanyika Dar mwaka huu , yaja na surprise za kutosha (+audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tigo Fiesta kufanyika Dar mwaka huu , yaja na surprise za kutosha (+audio)

Uongozi wa Clouds Media Group, umetangaza kuwa tamasha la Fiesta ambalo liliahirishwa kufanyika Dar Es Salaam mwishoni mwa mwezi Oktoba, litarudiwa tena mwezi huu.Taarifa hizo za kurudiwa kwa tamasha hilo, zimethibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media, Joseph Kusaga kupitia kipindi cha Clouds 360.


Kwa upande mwingine, bado haijaelezwa ni sehemu gani tamasha hilo litafanyika? na kiingilio kitakuwa ni shilingi ngapi?.


Tarehe 24 Oktoba mwaka huu, ni siku ambayo tamasha la Tigo Fiesta lilipangwa kufanyika, lakini baadae liliahirishwa kwa amri ya Serikali ya Manispaa ya Kinondoni.


The post Tigo Fiesta kufanyika Dar mwaka huu , yaja na surprise za kutosha (+audio) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More