TIGO FIESTA SUMBAWANGA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TIGO FIESTA SUMBAWANGA


Msanii Barnaba akionesha umahiri wake kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote yake lililofanyika jana kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga. Burudani ikiendelea

Msanii wa Bongo Fleva Ben Pol akiwa kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote kwa kuwashirikisha wakazi wa Sumbawanga kama kionjo cha shoo yake iliyofanyika jana kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga ... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More