Tigo na HMD Global wanaungana kuleta simu za kisasa kwa gharama nafuu. - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tigo na HMD Global wanaungana kuleta simu za kisasa kwa gharama nafuu.

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) na  Meneja wa Biashara wa kampuni ya HMD Global inayosambaza simu za Nokia, Gopher Ogemb (kulia) wakizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe za simu kutoka Tigo na Nokia katika msimu huu wa Sabasaba. Tigo na Nokia wanatoa simu za kisasa kwa bei nafuu zenye ofa ya bando ya intaneti bure kwa miezi sita. 


Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu aina ya Nokia 1 kwa mwandishi wa habari Vumilia Mwasha  (kulia) aliyoshinda katika droo ndogo iliyofanyika wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe za simu kutoka Tigo na Nokia katika msimu huu wa Sabasaba. Katikati ni Meneja wa Biashara wa kampuni ya HMD Global inayosambaza simu hizo za Nokia, Gopher Ogembo. 

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu aina ya Nokia 1 kwa mpiga picha Anthony Siame (kulia) aliyoshinda katika droo ndogo iliyofanyika wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe za simu kutoka Tigo... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More