Tigo na TECNO wanaungana kuleta simu za kisasa kwa gharama nafuu. - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tigo na TECNO wanaungana kuleta simu za kisasa kwa gharama nafuu.

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu aina ya Tecno S2 kwa mpiga picha Goodluck AMsola (kulia) aliyoshinda katika droo ndogo iliyofanyika wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe za simu kutoka Tigo na Tecno katika msimu huu wa Sabasaba. Katikati ni Afisa Mawasiliano wa Tecno, Eric Mkomoya.Ofa murwa kwa simu mpya za TECNO zenye intaneti bure kwa miezi sita toka Tigo
Dar es Salaam, 6 Julai 2018… Kampuni inayoongoza kwa maisha ya kidigitali, Tigo Tanzania imeungana na TECNO wameungana kuwapa wateja fursa ya kumiliki kwa bei nafuu, simu janja zenye uwezo wa 4G  na intaneti bure kwa miezi sita kutoka Tigo. Katika msimu huu wa Sabasaba, Tigo na TECNO wanakuletea simu za TECNO S2 kwa bei ya TSH 83,000, na TECNO R6 plus kwa bei pungufu ya TSH 195,000.
“Simu inayotumia laini mbili ya TECNO S2 pamoja na simu janja ya TECNO R6 plus zote zinakuja na ofa ya GB 2 za intaneti kwa miezi sita kutoka Tigo,’ Woinde Shisael, Meneja Mawasiliano wa Tigo alisema kati... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More