TIGO WASHINDA CHETI CHA USHIRIKI KWENYE MAONESHO YA NANENANE DODOMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TIGO WASHINDA CHETI CHA USHIRIKI KWENYE MAONESHO YA NANENANE DODOMA

Meneja Usambazaji wa Tigo Dodoma na Kondoa, Gidion Morris akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baaada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi kipengele cha mawasiliano kwenye maonesho ya Nanenane juzi mkoani Dodoma.Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde akimkabidhi cheti cha Kipengele cha Mawasiliano Kanda ya Kati kwa Meneja Usambazaji wa Tigo, Gidion Morris kwenye sherehe ya maadhimisho ya maonesho sikukuu ya wakulima Nanenane viwanja vya Nzuguni mkoani Dodoma juzi.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More