TIGO YAENDELEA KUTOA ZAWADI ZA FEDHA KWA MAWAKALA WA TIGO PESA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TIGO YAENDELEA KUTOA ZAWADI ZA FEDHA KWA MAWAKALA WA TIGO PESA

 Meneja wa Tigo kanda ya Kusini Mashariki Abbas Abdulrahman (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja Wakala wa huduma ya Tigo Pesa Shine Murtazah wa Iringa ambaye ni mmoja kati washindi wawili wa kanda hiyo waliojishindia zawadi za fedha taslimu kwenye promosheni ya ‘Cash In’ iliyomalizika mwishoni mwa mwezi Machi. Tigo imetoa zawadi za fedha taslimu zenye thamani ya Tshs 1m/- kwa Mawakala wa Tigo Pesa nchi nzima Meneja wa Tigo kanda ya Kusini Mashariki Abbas Abdulrahman (kulia) akiteta jambo na Wakala wa huduma ya Tigo Pesa Shine Murtazah wa Iringa ambaye ni mmoja kati washindi wawili wa kanda hiyo waliojishindia zawadi za fedha taslimu kwenye promosheni ya ‘Cash In’ iliyomalizika mwishoni mwa mwezi Machi. Tigo imetoa zawadi za fedha taslimu zenye thamani ya Tshs 1m/- kwa Mawakala wa Tigo Pesa nchi nzima. Baadhi ya wafanyakazi wa Tigo Mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja na Wakala wa huduma ya Tigo Pesa Shine Murtazah ambaye ni mmoja kati washindi... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More