TIGO YATANGAZA MSHINDI WA KITITA CHA MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA SOKA LA AFRIKA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TIGO YATANGAZA MSHINDI WA KITITA CHA MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA SOKA LA AFRIKA

 Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael, (kushoto) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo wakati wa kumtangaza mshindi wa mwezi wa shilingi milioni 10/, kupitia promosheni ya SOKA la AFRIKA , Omary Ahmed Bwenda, (Kulia) mfanyabiashara na mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam ameibuka mshindi na kukabidhiwa fedha zake.Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael, (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10/- Omary Ahmed Bwenda (27 (kulia) mkazi wa Mbezi Dar es Salaam, kutokana na kuibuka mshindi kupitia promosheni inayoendelea ya Tigo inayojulikana kama SOKA la AFRIKA katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kampuni ya mawasiliano ya Tigo, baada ya kufanikisha ndoto za wateja wake 10 kushuhudia mashindano ya soka ya Afrika, mubashara kupitia promosheni yake ya SOKA la AFRIKA, imetangaza mshindi wa fedha taslimu shilingi milioni 10 kupitia promosheni hiyo.
Akiongea katika mkutano na waandishi uliofanyika jijini Dar es Salaam leo, Menej... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More