Tigo yaunganisha wateja wa Sumbawanga na mtandao wa 4G - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tigo yaunganisha wateja wa Sumbawanga na mtandao wa 4G


  Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Ladislaus Karlo (kushoto) akiongea na wananchi wa Sumbawanga wakati wa uzinduzi wa mnara wa 4G mjini Sumbawanga. Wa pili Kulia ni Katibu Tawala wa Manispaa ya Sumbawanga Christina Mzena akifuatiwa na Meneja Mauzo wa Tigo Rukwa Francis Ndada


Katibu Tawala wa Manispaa ya Sumbawanga Christina Mzena (kati kati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa mnara wa Tigo 4G wilayani Sumbawanga jana. Kushoto ni Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Ladislaus Karlo na kulia ni Meneja Mauzo wa Tigo Rukwa, Francis Ndada  Katibu Tawala wa Manispaa ya Sumbawanga Christina Mzena akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa mnara wa 4G wilayani humo. Wanaoshangilia ni baadhi ya wafanyakazi wa Tigo waliohudhuria uzinduzi huo jana.Katibu Tawala wa Manispaa ya Sumbawanga Christina Mzena akionyeshwa baadhi ya bidhaa za mawsiliano kama simu zenye uwezo wa G4 muda mfupi kabla ya uzinduzi wa mnara wa 4G uliofanyika jana. Anayemuelekeza ni Meneja Mauzo wa Tigo Rukwa Francis Ndada   

Na Mwan... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More