TIGO YAZINDUA KAMPENI MPYA YA ‘TIGO PESA NI ZAIDI YA PESA’ - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TIGO YAZINDUA KAMPENI MPYA YA ‘TIGO PESA NI ZAIDI YA PESA’

Hussein Sayed, Afisa Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Tigo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya ‘Tigo Pesa ni Zaidi ya Pesa.’ Tigo Pesa pia imezindua huduma mpya ya Jihudumie itakayowasaidia wateja wa Tigo kurudisha miamala ya kutuma fedha waliyokosea, bila kuhitaji msaada kutoka kitengo cha huduma kwa wateja. Kulia ni Mkuu wa Udhibiti Ubora wa Tigo Pesa, Angelica Pesha.---Tigo Pesa, huduma ya kifedha ya kampuni ya Tigo Tanzania, leo imezindua kampeni ya ‘Tigo Pesa ni Zaidi ya Pesa’, kama uthibitisho kuwa huduma hiyo sasa ina hadhi ya huduma kamili ya kifedha ambayo inawapa wateja huduma za kipekee, bora na nyingi zaidi kupitia mtandao wa simu.
‘Tigo Pesa ni Zaidi ya Pesa’ inazingatia sifa ya Tigo kuwa mtandao pekee unaobuni huduma na bidhaa kulingana na mahitaji ya wateja ili kuboresha na kurahisisha maisha yao.
‘Tigo Pesa imepanua wigo wa bidhaa na huduma zake na kuibua njia bora zaidi kwa wateja kufur... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More