Tigo Yazindua Kampeni mpya ya ‘Tigo Pesa ni Zaidi ya Pesa’ - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tigo Yazindua Kampeni mpya ya ‘Tigo Pesa ni Zaidi ya Pesa’

 Hussein Sayed, Afisa Mkuu wa  Huduma za Kifedha wa Tigo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya ‘Tigo Pesa ni Zaidi ya Pesa.’ Tigo Pesa pia imezindua huduma mpya ya Jihudumie itakayowasaidia wateja wa Tigo kurudisha miamala ya kutuma fedha waliyokosea, bila kuhitaji msaada kutoka kitengo cha huduma kwa wateja. Kulia ni Mkuu wa Udhibiti Ubora wa Tigo Pesa, Angelica Pesha.


Tigo Pesa yawapa wateja uwezo wa kurudisha miamala iliyokosewa - Tigo kwenda TigoYaingia kwenye ushirikiano wa kimkakati na makampuni ya Kimataifa kuwapa wateja huduma za kipekee kama vile Tigo Pesa Masterpass QR na Uber
Dar es Salaam, Tanzania– Julai 12, 2018: Tigo Pesa, huduma ya kifedha ya kampuni ya Tigo Tanzania, leo imezindua kampeni ya ‘Tigo Pesa ni Zaidi ya Pesa’, kama uthibitisho kuwa huduma hiyo sasa ina hadhi ya huduma kamili ya kifedha ambayo inawapa wateja huduma za kipekee, bora na  nyingi zaidi kupitia mtandao wa simu.
T... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More