“Timu kubwa zikipotea soka la Tanzania litakufa”-Mwakyembe - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Timu kubwa zikipotea soka la Tanzania litakufa”-Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utwmaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harison Mwakyembe amesema Simba na Yanga ndio zinefanya soka la Tanzania lipo hapa leo, ikitokea timu hizi zikateteleka  soka la Tanzania litakufa.


“Hizi timu kubwa zikitetereka, zitapotea na zikipotea soka la Tanzania litakufa”-Dr. Harrison Mwakyembe.


Mwakyembe alialikwa kwenye Mkutano Mkuu wa klabu ya Yanga unaendelea kwenye ukumbi wa Police Officer’s Mess.Source: Shaffih DaudaRead More