Timu ya Tanzania Mashindano ya Jumuiya ya Madola Yakabidhiwa Bendera ya Taifa - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Timu ya Tanzania Mashindano ya Jumuiya ya Madola Yakabidhiwa Bendera ya Taifa

 Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Filbert Bayi (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari na wachezaji  wa timu ya Taifa inayotarajia kushiriki mashindano ya All African Games nchini Morocco (hawapo pichani) wakati wa kuiaga timu hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Rais wa Kamati ya Olimpiki nchini, Gulam Abdalla Rashid na kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Yusuph Singo.
 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Yusuph Singo  akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari na wachezaji  wa timu ya Taifa inayotarajia kushiriki mashindano ya All African Games nchini Morocco wakati wa kuiaga timu hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Yusuph Singo (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari na wachezaji  wa timu ya Taifa inayotarajia kushiriki mashindano ya All African Games nchini Morocco (hawapo pichani) wakati wa kuiaga timu hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Msaidi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More