Timu ya uongozi Dodoma yatembelea kituo cha afya - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Timu ya uongozi Dodoma yatembelea kituo cha afya

TIMU ya Uongozi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma (CMT), imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mkonze. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa na Shaban Juma, mwenyekiti wa timu hiyo baada ya kutembelea na kukagua ujenzi unaoendelea wa kituo hicho kilichopo katika Kata ya Mkonze. Juma amesema kuwa, ujenzi ...


Source: MwanahalisiRead More