TIMU YA UONGOZI WA CCM TAYARI YAWASILI KWENYE TUKIO LA MAZISHI YA WAHANGA MV. NYERERE MKOANI MWANZA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TIMU YA UONGOZI WA CCM TAYARI YAWASILI KWENYE TUKIO LA MAZISHI YA WAHANGA MV. NYERERE MKOANI MWANZATimu ya Uongozi wa CCM yenye wajumbe sita inayoongozwa na Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga na Ndg. Humphrey Polepole ambao ni Wakuu wa Idara CCM Makao Makuu, tayari imewasili na kuweka Kambi Mkoani Mwanza Wilaya Ya Ukerewe katika kisiwa Cha Ukara ili kuhakikisha mambo yote yanayoendelea kusimamiwa na Serikali yanakwenda vizuri ikiwa ni pamoja na kuhakikisha Majeruhi wanapatiwa matibabu ya haraka pamoja na wale wote ambao wamepoteza maisha kuhakikisha kuna kuwepo na utaratibu mzuri wa kuwasitiri na kuwahifadhi.

Imetolewa na,
Idara ya Hamasa na Chipukizi
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)

Tarafa ya Ukara, Ukerewe Mwanza.
Source: Issa MichuziRead More