Timu za CECAFA U-17 zawasili, kupimwa umri Muhimbili - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Timu za CECAFA U-17 zawasili, kupimwa umri Muhimbili

IKIWA zimebaki siku tatu kabla ya michuano ya vijana ya kufuzu fainali za Afrika chini ya umri wa miaka 17, katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kuanza, timu zimeanza kuwasili nchini na kufanya vipimo vya afya na umri katika Taasisi ya Tiba na Mifupa Muhimbili (MOI). Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Katika taarifa ...


Source: MwanahalisiRead More