TIRA:WANANCHI KATENI BIMA YA KILIMO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TIRA:WANANCHI KATENI BIMA YA KILIMO

Na. Vero Ignatus Arusha.


Wito umetolewa kwa wananchi kukata Bima ya kilimo ili iwasaidie wakati wa majanga.

Meneja Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Nchini (TIRA) Kanda ya kaskazini Eliezer Rweikiza amesema kuwa mamlaka hiyo inatimiza azma ya serikali ya kuhakikisha kilimo kinasimama, kinachangia pato la Taifa, kunakua pamoja na kuwasaidia wananchi

Amesema Serikali inafanya jitihada nyingi kuhakikisha kilimo kinapata bima, hivyo kupitia ofisi ya Kamishna mkuu wa bima nchini hatua nyingi zimefanyika ikiwemo sera ya bima ya taifa inayozungumzia maswala ya kilimo kwa ujumla, sheria zilizotungwa kuielezea huduma hiyo.

Hivyo mwanachi asiwe na wasiwasi kuhusiana na bima hii kwani uhusika wetu kwenye makampuni yanayotoa Bima iwe ni ya kilimo, Afya, mali au ya maisha lazima tusadajili sisi na kujua utendaji wao, huduma wanazozitoa niyo sababu tupo karibu yao"Alisema Rweikiza.

Amesema Bima hiyo ipo mahususi kwa watu wanaojihusisha na kilimo ambayo inakinga majanga yanayotokana na shugh... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More