Toleo la Google Play Store linasababisha simu kuisha chaji haraka - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Toleo la Google Play Store linasababisha simu kuisha chaji haraka

Imefahamika toleo la Google Play Store 18.3.82 linasababisha kuisha kwa chaji kwenye simu za Android haraka kuliko kawaida. Toleo hilo ambalo limetoka hivi karibuni limeonekana kuwa na tatizo (bug) linalosababisha utendaji wake kutumia chaji nyingi ya simu. Kama una muda mrefu haujasasisha(update) toleo la app ya Google Playstore basi usiwe na wasiwasi ila kwa watu [...]


The post Toleo la Google Play Store linasababisha simu kuisha chaji haraka appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More