Tony Elumelu kufungua dirisha Programu ya Wajasiriamali Afrika, Januari 1, 2019 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tony Elumelu kufungua dirisha Programu ya Wajasiriamali Afrika, Januari 1, 2019

Na Bakari Kimwanga -DAR ES SALAAM 
TAASISI ya Tony Elumelu (TEF), imetangaza kufungua mzunguko wa tano wa programu ya Wajasiriamali Afrika kuanzia Januari 1, 2019 
Maombi hayo yatatumwa na kushughulikiwa kwenye kwenye jukwaa kubwa la mitandao kwa wajasiriamali wa Afrika, TEFConnect - www.tefconnect.com
Taarifa iliyotolewa na Taasisi ya Tony Elumelu yenye makao makuu yake Lagos, nchini Nigeria ilieleza kwamba kuanzia Januari 1, 2019, saa 12 asubuhi, Tony Elumelu itaanza kupokea maombi ya mzunguko wa tano wa Programu ya Wajasiriamali. Ambapo waombaji 1,000 waliochaguliwa wataunganishwa msimamizi wa sasa wapatao 4,470 katika program hiyo. 
Tangu mwaka 2015, Mpango wa Biashara wa TEF – imekuwa ni kichocheo kiliasisiwa kwa misingi ya Afrika ambapo aina hiyo, imewawezesha wajasiriamali 4,470 wa Afrika, ambao kila mmoja amenufaika kwa kupatiwa Dola 5,000 kila mmoja. Hatua hiyo huenda sambamba na mjasiriamali kuhudhuria mafunzo ya biashara yanayoendeshwa kwa wiki 12, ambao hupata ushauri na... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More