Toronto Raptors waukaribia Ubingwa wa NBA, wawatembezea kipigo mabingwa watetezi Golden State Warriors, wahitaji ushindi wa mechi moja pekee kubeba taji hilo - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Toronto Raptors waukaribia Ubingwa wa NBA, wawatembezea kipigo mabingwa watetezi Golden State Warriors, wahitaji ushindi wa mechi moja pekee kubeba taji hilo

Timu ya Toronto Raptors imezidi kujikita katika nafasi nzuri kwenye fainali za ligi ya mpira wa kikapu maarufu kama basketball nchini Marekani (NBA) baada ya alfajiri ya leo kuwatembezea kipigo mabingwa watetezi Golden State Warriors kwa jumla ya pointi 105-92.


View this post on InstagramThe @raptors take 3-1 #NBAFinals lead with 105-92 victory in Oakland!


A post shared by NBA (@nba) on Jun 7, 2019 at 8:53pm PDT

Huo ulikuwa ni mchezo wa nne katika mfululizo wa fainali hizo za NBA unaowafanya vijana wa Toronto kuongoza kwa michezo 3-1.


Kwa matokeo hayo timu ya Toronto Raptors mpaka sasa inahitaji kushinda mechi moja pekee kati ya michezo mitatu iliyosalia ili kutangaza ubingwa wa ligi hiyo msimu huu. Mchezo wa tano utapigwa alfajiri ya Juni 11, 2019 ambapo Warriors watakuwa ugenini.


The post Toronto Raptors waukaribia Ubingwa wa NBA, wawatembezea kipigo mabingwa watetezi Golden State Warriors, wahitaji ushindi wa mechi moja pekee kubeba taji hilo... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More