Total kuwatunuku vijana katika ubunifu wa mawazo ya Biashara - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Total kuwatunuku vijana katika ubunifu wa mawazo ya Biashara

Na Chalila Kibuda, Globu, Globu ya JamiiKAMPUNI ya Mafuta ya Total imeazisha shindano la  Startupper of the Year Challenge kwa ajili  wabunifu wa mawazo ya biashara na kupata  fursa ya ya mtaji pamoja na mafunzo maalumu kwaajili ya uendeshaji wa biashara hizo. 
Shindano hilo la pili kufanyika nchini linaloendeshwa na Kampuni ya Mafuta  ya Total Tanzania na limewalenga vijana wenye mawazo ya biashara na miradi inayoweza kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii zao ikiwemo biashara hizo zilitokana na mawazo ziweze kukua.
Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa Shindano hilo, Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya  Total, Thomas Biyong amesema mbali na Tanzania shindano hilo litafanyika katika nchi 40 katika Bara la  Afrika ikiwa ni mpango wa kuinua kazi za ubunifu na kuwa endelevu katika mapinduzi ya biashara.
"Mawaz ya Miradi hiyo itapimwa kulingana na wazo la ubunifu wa asili, umuhimu kwa jamii pamoja na uwezekano wa mradi kuwa endelevu," amesema.
Naye, Mkurugenzi wa Sheria na  Mahusiano wa Ka... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More