TOTTENHAM HOTSPUR YAISHINDILIA BORUSSIA DORTMUND 3-0 WEMBLEY - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TOTTENHAM HOTSPUR YAISHINDILIA BORUSSIA DORTMUND 3-0 WEMBLEY

Mshambuliaji Mkorea, Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la kwanza dakika ya 47 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Jan Vertonghen dakika ya 83 na Fernando Llorente dakika ya 86 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More