TPA TANGA YAIBUKA MSHINDI KWA TAASISI ZA KISERIKALI ZILIZOSHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TPA TANGA YAIBUKA MSHINDI KWA TAASISI ZA KISERIKALI ZILIZOSHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA

Naibu Waziri wa Maliasilia na Utalii Japhet Hasunga kushoto akimkabidhi Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama kombe la mshindi wa kwanza wa taasisi za serikali zilizoshiriki maonyesho ya biashara ya kimataifa yaliyokuwa yakifanyika Jijini Tanga na kumalizika hivi karibuni. Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama akiwa na kombe la mshindi wa kwanza wa taasisi za serikali zilizoshiriki maonyesho ya biashara ya kimataifa yaliyokuwa yakifanyika Jijini Tanga akiwa na watumishi wa Bandari hiyoCopyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More