TPB YATOA MSAADA WA FIMBO NYEUPE KWA CHAMA CHA WASIOONA DAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TPB YATOA MSAADA WA FIMBO NYEUPE KWA CHAMA CHA WASIOONA DAR

BENKI ya TPB, imetoa msaada wa fimbo nyeupe 20 kwa chama cha wasioona tawi la Dar es Salaam, zenye thamani ya sh milioni 1. Msaada huo ulitolewa jana na Meneja wa Mawasiano wa Benki ya TPB, Bi. Chichi Banda na kukabidhiwa Mwenyekiti wa chama hicho Bw. Seif Jega. 
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Bi Chichi Banda alisema benki hiyo ilitoa msaada huo kama sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake katika jamii. ‘’Katika uendeshaji wa benki yetu, huwa tuna utaratibu wa kutenga kiasi cha faida kila mwaka kwa ajili ya kusaidia jamii katika maeneo makuu matatu ambayo ni afya, elimu na ustawi wa jamii’’. Hivyo basi tunawaomba wananchi muendelee kutuunga mkono kwa kutumia huduma zetu za kibenki kwani tunachokipata kama faida, mara zote tumekuwa tukirudisha kwenu kupitia misaada tunayotoa’’, alisema Chichi. ‘’Tunaamini msaada huu, utaenda kupunguza changamoto kwa wale wasioona ambao walikosa kifaa hiki muhimu katika maisha yao’’, aliongeza Chichi.
Kwa upande wake Mwenyekit... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More