TPDC YAZIHAKIKISHIA NCHI ZA SADC KUWA WANA UZOEFU WA UCHAPAKAZI KWA MIAKA 50 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TPDC YAZIHAKIKISHIA NCHI ZA SADC KUWA WANA UZOEFU WA UCHAPAKAZI KWA MIAKA 50


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania(TPDC) James Mataragio wakati anazungumza kwenye mjadala katika wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC ambao mada yake ilijikita kuzungumzia mafuta na ujenzi wa miundombinu katika kuondoa umasikini. Washiriki wakiendelea kufuatilia mjadala kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC James Mataragio wakati anatoa uzoefuwashirika hilo katika eneo la mafuta ,gesi na ujenzi wa miundombinuMaelezo. Mmoja ya washiriki akiuliza swali.Muongoza mada akimuuliza wali Mkurugenzi Mkuu wa TPDC James Mataragio.Mkurugenzi Mkuu wa TPDC James Mataragio akiongea na wanahabari.
Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) limezihakikisha nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) kuwa wana gesi ya kutosha na wanajivunia kuwa na uzoefu wa miaka 50 katika ujenzi wa miundombinu ya gesi na mafuta.
Pia limesema kwa sasa mahitaji ya gesi yanaongezeka na tayari wameanza kufanya mazungumzo na nchi tano za Kenya, Zambia, Uga... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More