TPDC YAZIHAKIKISHIA NCHI ZA SADC TANZANIA KUNA GESI YA KUTOSHA, WAJIVUNIA UZOEFU WA MIAKA 50 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TPDC YAZIHAKIKISHIA NCHI ZA SADC TANZANIA KUNA GESI YA KUTOSHA, WAJIVUNIA UZOEFU WA MIAKA 50

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
SHIRIKA la Maendeleo la Petroli Tanzania(TPDC) limezihakikisha nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) kuwa wana gesi ya kutosha na wanajivunia kuwa na uzoefu wa miaka 50 katika ujenzi wa miundombinu ya gesi na mafuta.
Pia limesema kwa sasa mahitaji ya gesi yanaongezeka na tayari wameanza kufanya mazungumzo na nchi tano za Kenya, Zambia, Uganda , Malawi na DRC ili wapelekewe gesi kwenye nchi zao.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa TPDC James Mataragio wakati anazungumza na waandishi waliokuwa kwenye mjadala ambao mada yake ilijikita kuzungumzia mafuta na ujenzi wa miundombinu katika kuondoa umasikini.
Hivyo wametumia nafasi hiyo kueleza kuwa mahitaji ya gesi kwa nchi mbalimbali za SADC ni makubwa na ndio maana kuna nchi wanaendelea kuzungumza nazo ili kuhakikisha nishati ya gesi inawafikia.
“Kuhusu nafasi ya soko ya gesi, mahitaji ni makubwa na yanaongezeka kila siku .Nchi za Kenya, Zambia, Uganda , Malawi na DRC wameomba kusambaziwa gesi.
“Hivy... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More