TPSC YATAKIWA KUTOA MAFUNZO YATAKAYOWAWEZESHA WATUMISHI WA UMMA KUBORESHA HUDUMA KWA WANANCHI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TPSC YATAKIWA KUTOA MAFUNZO YATAKAYOWAWEZESHA WATUMISHI WA UMMA KUBORESHA HUDUMA KWA WANANCHI


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi alipowatembelea ofisini kwao makao makuu ya TPSC jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.

Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Dkt. Henry Mambo, akieleza majukumu ya TPSC kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi wa TPSC cha kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika Makao Makuu ya chuo hicho jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Chuo na Mtendaji

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akikagua daftari la mmoja wa wanachuo wa Chuo cha Utumishi alipowatembelea wanafunzi hao katika moja ya madarasa ya Kampasi ya Dar ... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More