TRA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA KIKODI ZINAZOIKABILI SEKTA YA UZALISHAJI WA MVINYO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TRA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA KIKODI ZINAZOIKABILI SEKTA YA UZALISHAJI WA MVINYO

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (katikati) akimsikiliza Mtaalam wa kutengeneza mvinyo wa kiwanda cha CETAWIKO cha Jijini Dodoma, Bw. Erick Shulz (kushoto) namna mvinyo unavyotengenezwa kiwandani hapo wakati alipotembelea kiwanda hicho kwa ajili ya kutambua changamoto zinazowakabili Wawekezaji.Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (kulia) akimsikiliza Mtaalam wa kutengeneza mvinyo wa Kiwanda cha Kutengeneza Mvinyo (CETAWICO) cha Jijini Dodoma, Bw. Erick Shulz namna mvinyo unavyochambuliwa kwa kutumia mtambo maalum kiwandani hapo wakati alipotembelea kiwanda hicho kwa ajili ya kutambua changamoto zinazowakabili Wawekezaji.Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Kutengeneza Mvinyo (CETAWICO), Bw. Fiorenzo Chesini (kulia) akimuonyesha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (katikati) kifaa maalum kutumikacho kupimia kiasi cha ukali wa mvinyo wakati alipotembelea kiwandani hapo kwa ajili ya kutamb... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More