TRA YAKUSANYA TRILIONI 7.9 KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 6 YA MWAKA WA FEDHA 2018/19 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TRA YAKUSANYA TRILIONI 7.9 KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 6 YA MWAKA WA FEDHA 2018/19

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Richard Kayombo akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu Makusanyo ya kodi kwa kipindi cha miezi sita kwa Mwaka wa Fedha 2018/19, katika Ofisi za TRA Makao Makuu Jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Richard Kayombo akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu Makusanyo ya kodi kwa kipindi cha miezi sita kwa Mwaka wa Fedha 2018/19, katika Ofisi za TRA Makao Makuu Jijini Dar es Salaam. (PICHA NA BENEDICT LIWENGA).
Na Veronica Kazimoto, Dar es Salaam.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi trilioni 7.9 kwa kipindi cha miezi sita ya Mwaka wa Fedha 2018/19 ikiwa ni kuanzia Julai hadi Desemba, 2018 ikilinganishwa na shilingi trilioni 7.8 ambazo zilikusanywa kipindi kama hicho katika Mwaka wa Fedha wa 2017/18.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA Richa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More