TRA yatangaza neema kwa wananchi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TRA yatangaza neema kwa wananchi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza fursa ya malipo ya asilimia tatu kwa yeyote atakayetoa taarifa sahihi za kufanikisha kukusanywa kodi iliyokwepa na wafanyabiashara. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Fursa hiyo imetangazwa leo jijini Mwanza jana na Kamishina wa walipa kodi wakubwa wa TRA, Alfred Mregi alipokuwa akizungumza wakati wa mkutano wa kutoa elimu ...


Source: MwanahalisiRead More