TRA yatoa mafunzo kwa wahasibu wa taasisi za Umma - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TRA yatoa mafunzo kwa wahasibu wa taasisi za Umma

Kamishina wa walipakodi wakubwa wa Mamlaka ya mapatoTanzania (TRA), Alfred Mregi akizungumza katika semina ya kutoa elimu ya kodi kwa wafanyakazi wa taasisi na mashirika ya umma katika ukumbi wa mikutano, benki kuu jijini Dar es Salaam leo. Akimwakilisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dr. Edwin Mhede. Naibu Kamishina wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Herbert Kabyemela akizungumza na wawakilishi wa taasisi na mashirika ya umma wakati wa kutoa elimu katika ukumbi wa mikutano, Benki kuu jijini Dar es Salaam leo.Baadhi ya wawakilishi  wa taasisi na mashirika ya umma wakimsikiliza Kamishna wa walipakodi wakubwa wa Mamlaka ya mapatoTanzania (TRA), Alfred Mregi katika ukumbi wa mikutano, benki kuu jijini Dar es Salaam leo wakati wakipewa elimu TRA kuhusiana na kujifunza namna kutumia mifumo mipya ya kukusanyaji kodi nchini. Kamishna wa walipakodi wakubwa wa Mamlaka ya mapatoTanzania (TRA), Alfred Mregi na Naibu Kamishina wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), H... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More