TRA YATOA ONYO KWA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TRA YATOA ONYO KWA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO

Kamishna wa Kodi za Ndani wa TRA Bw. Elijah Mwandumbya akijibu hoja za wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam alipokutana nao kwa mazungumzo katika mkutano uliofanyika mtaa wa Mchikichi eneo la Kariakoo.Wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo jijini Dar es salaam wakimsikiliza Kamisha wa Kodi za Ndani Bw. Elijah Mwandumbya alipofanya nao mkutano katika mtaa wa Mchikichi, Kariakoo.Mfanyabiashara wa Kariakoo Bw. Emmanuel Mwakatungila, akiuliza swali wakati wa mkutano kati Kamishna wa Kodi za Ndani wa TRA na wafanyabishara wa eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Na mwandishi wetu, Dar es salaam
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaonya wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wanaotumia risiti moja iliyotolewa kwenye mashine ya EFD kwa ajili ya kusafirishia mzigo zaidi ya mmoja kutoka eneo la Kariakoo kwenda eneo la Jangwani wanapoenda kupakia mizigo kwa ajili ya kusafirisha mikoani, kwani atakayekamatwa adhabu yake ni faini ya asilimia 200 ya kodi iliyopa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More